Shelisheli yawasili kuvaana na Serengeti Juni 26
Timu ya soka ya Vijana ya Shelisheli, imewasili Dar es Salaam saa 7.45 usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Taifa ya Vijana ‘Serengeti Boys’ utakaofanyika Juni 26 mwaka huu uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.