Nchi zinazopokea wakimbizi zinatakiwa kuwasaidia

Mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa mjini Dar es Salaam nchini Tanzania Alvaro Rodriguez.

Nchi zinazopokea na kuhifadhi wakimbizi zinahitaji kusaidia Jumuiya ya Kimataifa kwa manufaa ya wakimbizi lakini pia wenyeji wanaowapokea ili kuweka mazingira mazuri ya kiusalama na kukua kiuchumi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS