Young Dee: Nimekoma ngada Young Dee akiwa na Max. Baada ya mengi kutokea na kuvuma juu ya tetesi za utumizi wa madawa ya kulevya kwa msanii wa bongo fleva Young D hatimaye amerudi tena kwa kiongozi wake wa zamani Max na kutangaza kuacha ngada mbele ya waandishi wa habari. Read more about Young Dee: Nimekoma ngada