Makamu wa rais azindua kongamano la Sayansi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hasani amesema tafiti mbalimbali zilizofanywa na wanasayansi na wadau wa sekta ya afya zitaiwezesha serikali katika kuboresha na kutunga sera mpya za huduma ya afya nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS