Mkutano wa Afrika wafungua mlango kuwalinda Albino
Wanaharakati wa kupinga ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi au albino wanasema mkutano wa hivi karibuni wa Afrika uliofanyika Dar es Salaam Tanzania, umefungua pazia la juhudi zaidi za mapambano dhidi ya ukatili kwa albino.