Tupo tayari kuvaana na Shelisheli - Shime
Kocha wa timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania Serengeti Boys Bakary Shime amesema, wapo tayari kwa mchezo wa awali wa kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa kwa vijana dhidi ya Shelisheli jumapili Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.