Waamuzi watakiwa kujitathimini kwa Ligi iliyopita
Waamuzi wa Ligi kuu nchini wametakiwa kujifanyia tathimini ya mechi za misimu iliyopita ya Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara ili kuweza kuepukana na lawama ambazo hutokea mara baada ya kumalizika kwa mchezo.

