Samia aiomba Malaysia kujenga ubalozi Tanzania

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ALIKUTANA NA UJUMBE WA SERIKALI YA MALAYSIA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN ameiomba serikali ya MALAYSIA kujenga ofisi za ubalozi wake hapa nchini ili kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo MBILI.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS