DAWASCO kuweka tiba kwenye vyanzo vyake vya maji Kutokana na kuwepo kwa malalamiko mengi ya wateja na watumiaji wa maji ya Dawasco jijini Dar es Salaam,Mamlaka hiyo imeboresha kiwango cha ubora wa maji kutoka vyanzo vyake hadi kuwafikia watumiaji. Read more about DAWASCO kuweka tiba kwenye vyanzo vyake vya maji