Ofisi ya Msajili Vyama vya Siasa yang'aka
Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania imesema kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa kwa vyama vya siasa vitakavyoshindwa kurudisha ripoti ya hesabu za gharama za uchaguzi ndani ya muda uliopangwa kisheria.