Rais Magufuli azindua kituo cha mawasiliano Polisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo, amezindua kituo cha mawasiliano cha Jeshi la Polisi ambacho kitarahisisha utoaji wa taarifa za uhalifu na kuharakisha askari polisi kufika katika eneo la tukio.