Vyama 5 kati ya 18 kurudisha ripoti ya fedha
Ikiwa leo siku ya mwisho kwa vyama vya siasa nchini kuwasilisha nyaraka ya gharama za uchaguzi za mwaka 2015 zoezi hilo limeonekana kusuasua ambapo mpaka kufikia saa sita mchana vyama viwili tuu vilivyojitokeza .