Kipande cha ndege MH 370 kuchunguzwa Tanzania Kipande kipya cha mabaki ya ndege kilichopatikana nchini Tanzania kitafanyiwa uchunguzi ili kubaini iwapo kinahusiana na mabaki ya ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH 370. Read more about Kipande cha ndege MH 370 kuchunguzwa Tanzania