Poland yatinga robo fainali Euro yaichapa Uswizi
Hatua ya mtoano ya kombe la Mataifa ya Ulaya Euro 2016 imeenza huku ikishuhudiwa timu ya Poland ikitangulia kutinga robo fainali ya michuanho hiyo nakuiondosha mashindanoni timu ngumu ya taifa ya Uswizi kwa changamoto ya mikwaju ya penati.