Kimya kimya uongozi Simba wamgeukia tena Mavugo
Simba SC ina misimu minne mfululizo haijaonja raha ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara, hali ambayo imewafanya mashabiki wa msimbazi kuwa wanyonge mbele ya watani zao Yanga na sasa wanasubiri pengine furaha yao itarejeshwa na kikosi kinachosajiliwa sasa.