Shirikianeni na polisi kufichua waovu-Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi katika kuwafichua wahalifu ili kutokomeza matukio ya uhalifu na kuiweka nchi salama.