Upanuzi wa njia za kuruka ndege uwanja wa Dodoma
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, ametoa miezi miwili kwa mkandarasi Chicco anaefanya upanuzi wa njia ya kuruka na kutua ndege katika uwanja wa ndege wa Dodoma kuhakikisha kuwa ujenzi huo unakamilika.