Mazembe kutua nchini leo usiku Mabingwa mara tano Afrika, TP Mazembe ya DRC wanatarajiwa kuwasili usiku wa leo tayari kwa mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Yanga SC, Siku ya Jumanne katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Read more about Mazembe kutua nchini leo usiku