Jaffo awashukia watakaoshindwa kusimamia miradi
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Seleman Jaffo, amesema wakurugenzi na watendaji watakaoshindwa kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo hatawavumilia na atawachukulia hatua kali.
