Serengeti Boys yaipigisha kwata Shelisheli Taifa
Hayawi hayawi sasa yamekua hii ni baada ya hii leo vijana wa Serengeti Boys kuitoa kimasomaso Tanzania kwa mara nyingine tena mara hii ni katika michuano ya kufuzu kwa mashindano ya vijana wa miaka chini ya 17 barani Afrika wakiisurubu Shelisheli.