TP Mazembe yatua nchini, Ulimwengu atabiri ushindi

Mshambuliaji Mtanzania anayecheza TP Mazembe, Thomas Ulimwengu.

Kikosi cha TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kimewasili jana usiku tayari kwa mchezao dhidi ya Yanga hapo kesho Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS