Vijana watakiwa kuanzisha vikundi vya ujasiriamali
Vijana wakiwa katika mafunzo ya Ujasirimali(Picha na Maktaba).
Vijana Mkoani Mtwara, wameshauriwa kuunda vikundi vya ujasiriamali, vitakavyowawezesha kupata mikopo kwa urahisi na kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo itakayowakwamua kiuchumi.