Serikali yataka waganga tiba asili kufuata sheria

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Hamisi Kigwangala

Serikali imesema imeanzisha utaratibu mpya wa kusajili dawa za Waganga wa Tiba Asili na Tiba Mbadala ili kudhibiti watumiaji wa dawa hizo kupewa dawa zisizo na viwango na nyingine kudaiwa kuwa na vimbata vya sumu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS