Serikali yatoa muongozo wanafunzi wenye ulemavu
Serikali imetoa miongozo wa namna ya ujenzi wa majengo ya shule za msingi na sekondari pamoja na utengenezaji na ununuzi wa samani, ili kuhakikisha kuwa miundombinu inaboreshwa kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye ulemavu.