Nay: Sijibishani na wasio levo yangu

Nay wa Mitego.

Rapa wa muziki nchini Tanzania, Nay wa Mitego, amesema kwa levo aliyonayo kwenye gemu la muziki hawezi kushindana na msanii ambaye anatafuta kiki kupitia yeye na huku hafikii levo yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS