Dkt Magufuli (Kushoto) akiwa na viongozi wengine wa juu wa CCM katika kikao cha NEC ya chama hicho leo.
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimelipitisha kwa kauli moja jina Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk, John Magufuli kuwa mgombea wa uenyekiti wa chama hicho