Maandalizi ya Mahakama ya Ufisadi yaanza
Wakati Bunge likiwa limepitisha sheria ya uanzishwaji wa Mahakama ya Mafisadi nchini, Jukwaa la Haki Jinai ambalo linajumuisha Taasisi za Umma na serikali limekutana kujipanga namna zitakavyoweza kufanya kazi kwa ufanisi kwenye Mahakama hiyo.