Simon Msuva kuikosa TP Mazembe kesho

Mshambuliaji wa kikosi cha Yanga Simon Msuva ataikosa mechi ya kesho ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya klabu ya TP Mazembe utakaofanyika Uwanja wa Taifa Jijiji Dar rs Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS