Tunauhakika wa kukamilisha madawati -Dendego
Wadau mbalimbali wa maendeo mkoani Mtwara wameendelea kuchangia madawati huku zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya kufikia tarehe ya mwisho ya kutekeleza agizo la Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli la kutatua uhaba wa madawati nchini.