Kocha Roy Hodgson ajiuzulu kuinoa Uingereza

Kocha Roy Hodgson akitangaza kujiuzulu mbele ya waandishi wa habari.

Kocha Roy Hodgson amejiuzulu kuifundisha timu ya taifa ya Uingereza baada ya kufungwa magoli 2-1 na Iceland na kutolewa nje ya michuano ya Euro 2016.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS