Nico Rosberg kusalia na Mercedes hadi 2018

Dereva Nico Rosberg katika picha

Dereva wa mashindano ya magari Nicco Rosberg amesaini mkataba mpya na timu anayoitumikia ya Marcedes utakaomuweka klabuni hapo mpaka mwaka elfu mbili na kumi na nane.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS