Rais amuomba Messi asijiuzulu soka la kimataifa Rais wa Argentina Mauricio Macri amemwita nyota wa soka nchini humo Lionel Messi kwa lengo la kumuomba atengue maamuzi yake ya kujiuzulu kucheza soka la kimataifa. Read more about Rais amuomba Messi asijiuzulu soka la kimataifa