Wanakijiji wa Lukonde wamlilia Lukuvi
Wanakijiji wa kijiji cha Lukonde kata ya Mkuyuni, mkoani Morogoro wanamuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi
aingilie kati mgogoro wa ardhi unaoendelea kijijini hapo kati ya wanakijiji na muwekezaji.