Mgodi wa Geita waisaidia Muhimbili Tsh milioni 23 Hosptali ya Taifa Muhimbili kitengo cha watoto kimepokea msaada wa vifaa tiba 145 vyenye dhamani ya shilingi za kitanzania milioni 23 kwaajili ya kurahisisha upatikanaji wa matibabu. Read more about Mgodi wa Geita waisaidia Muhimbili Tsh milioni 23