DUCE yajipanga kuwanoa walimu kuongeza ubora elimu Upungufu wa ujuzi na mbinu bora za kufundisha miongoni mwa waaalimu umetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kuzorota kwa ubora wa elimu nchini na kupelekea wanafunzi kutofanya vizuri katika masomo yao. Read more about DUCE yajipanga kuwanoa walimu kuongeza ubora elimu