5 Bora Usaili wa Pili
Mtangazaji wa Mashindano ya Dance100%, T-Bway akiwa na makundi 5 yaliyofanikiwa kupita katika Usaili wa pili uliofanyika katika Viwanja vya Don Bocso-Upanga, makundi hayo ni J Combat Crew, The Heroes Crew, TWC, The Quest Crew na Wazawa Crew.
