Rais Magufuli atuma salam za rambirambi Morogoro
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amezitumia salamu za pole familia, ndugu, jamaa na marafiki wa watu 12 waliopoteza maisha kufuatia ajali mbili zilizotokea katika eneo moja Dakawa, Tarafa ya Dumila, Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro.