The Heroes Crew Moja ya kundi liloshiriki na pia kuingia katika hatua ya Tano Bora katika usaili wa pili wa mashindano ya Dance100% yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco-Upanga, wakionesha umahiri wao wa kusakata dansi. Read more about The Heroes Crew