Yanga bado inanafasi ya kufanya vizuri - Ulimwengu
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Thomas Ulimwengu ambaye anaitumikia klabu ya TP Mazembe amesema Yanga bado inanafasi ya kuweza kusonga mbele katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika.