Clinton amteua Tim Kaine kuwa mgombea mwenza Bi Hillary Clinton (Kushoto) akiwa na Tim Kaine Mgombea Urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic Hillary Clinton amemteuwa Seneta Tim Kaine, kutoka Virginia kuwa mgombea wake mwenza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini humo tarehe 8 Novemba. Read more about Clinton amteua Tim Kaine kuwa mgombea mwenza