Magufuli, Kagame kufungua sabasaba ya 40
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli kesho Ijumaa ataambatana na Rais wa nchi ya Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame kuungana na wafanyabiashara pamoja na watanzania wengine kufungua rasmi maonesho ya 40 ya Sabasaba.