Maandalizi Nane Nane Mashariki yaanza Morogoro Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. KEBWE STEVEN KEBWE Maandalizi ya Maonyesho ya Nane Nane Kanda ya Mashariki, yanaendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Mkoani Morogoro kwa Shughuli mbalimbali ikiwemo ukarabati wa Miundombinu ya uwanja huo. Read more about Maandalizi Nane Nane Mashariki yaanza Morogoro