Watakaoua vyama vya ushirika kufukuzwa kazi-Tizeba
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba, amesema atawafukuza kazi warajisi wa vyama vya ushirika nchini kutokana kushindwa kusimamia vyama hivyo na kusababisha kufilisika na kutowadia wakulima.