Nizar, Chuji, Tegete na Razak watemwa Mwadui FC

Kocha wa Timu ya Mwadui FC Jamhuri Kihwelo'Julio'

Kocha wa Timu ya Mwadui FC Jamhuri Kihwelo Julio amesema, amekamilisha usajili wake kwa kubakiwa na jumla ya wachezaji 23 katika kikosi ili kutoa nafasi za kupata namba kwa wachezaji wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS