Wanaojihusisha na mapenzi vyuoni ni wengi- Mkumbo
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa Prof. Kitila Mkumbo amesema vijana wengi wanapoingia vyuo vikuu hujihusisha na mahusiano ya kimapenzi ambapo asilimia huongezeka kadri wanavyozidi kukaa chuoni.