Vijana wajiunge kwenye vikundi ili wasajiliwe
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde amewataka vijana nchini kutumia fursa zilizopo kwa ajili ya kusaidia jamii katika kuleta maendeleo ya taifa na kujiepusha kulalamika bila kufanya kazi.

