Bolt aumia hatihati kuikosa michuano ya Olimpiki
Wasiwasi mkubwa umekikumba kikosi cha timu ya taifa ya riadha ya Jamaica kufuatia kuumia ghafla kwa mmoja wa wachezaji wake tegemeo Usain Bolt ambaye ameumia wakati wa mazoezi yake ya maandalizi ya michuano ya Olimpiki itakayofanyika Agasti mwaka huu