Vibanda 500 vyateketea kwa moto wilayani Sengerema
Zaidi ya vibanda mia tano (500) vidogovidogo vinavyotumiwa kama makazi ya biashara na` wafanyabiashara wadogowadogo wa maeneo ya kisiwa kidogo cha Kabiga na migongo vimeteketea kwa moto katika matukio mawili tofauti wilayani Sengerema.