Ligi ya DRHA kuendelea kesho JMK Park Ligi ya Mpira wa Magongo ya Mkoa wa Dar es Salaam inatarajiwa kuendelea hapo kesho kwa timu takribani 19 kutimua vumbi Uwanja wa kituo cha kukuza michezo cha JMK Park kidongo chekundu. Read more about Ligi ya DRHA kuendelea kesho JMK Park