Bunge la 11 mkutano wa 3 limekiuka baadhi ya haki
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini LHRC kimesema kikao cha Bunge la 11 mkutano wa 3 kilichoisha tarehe 30.06.2016 kimekuwa na changamoto nyingi sana ambazo zimepeleka watanzania kukosa haki zao za msingi.